BRAND NEW TRACK NUH MZIWANDA - MSONDO NGOMA HII HAPA
Msanii chipukizi anayekwenda kwa jina la Nuh Mziwanda ameachia truck mpya leo inayokwenda kwa jina la 'Msondo Ngoma'..
Msanii huyo aliwahi kutamba na kibao 'Otea Nani' na baadae kuingia kwenye headlines baada ya kutangaza anatoka kimapenzi na msanii mwenzake Shilole.
BOFYA HAPA KUSIKILIZA NA KUDOWNLOAD 'MSONDO NGOMA' YA NUH MZIWANDA
No comments:
Post a Comment