JUMLA ya wasanii 12 kutoka Jiji la Arusha wametembea kwenye beat moja na kufanya remix ya wimbo wa 'Mamong'oo' ambao ulifanywa na kundi la Jambo Squad linaloundwa na Ordinary na Nigga C.
Wimbo huu wa Mamong'oo Remix umerudiwa na wasanii kama Nikki wa Pili, G Nako, Chindo, Nakaaya, Bou Nako, Ordinary na Nigga C na wengine wengi..
Download kwenye link hiyo hapo chini
Download Mamong'oo Remix Hapa (Mikito)
Download Mamong'oo Remix (Hulkshare) hapa
No comments:
Post a Comment