WALE ndugu wawili wanaokwenda kwa jina la KIBA SQUARE (Ali Kiba na Abdu Kiba) wamerudi kivingine kwenye gemu baada ya kuachia truck mpya inayoitwa PITA MBELE.
Juzi wasanii hao walifanya show Maisha Club na kuitambulisha truck hiyo na kuahidi kuiachia wiki hii na sasa iko mikononi mwako...
Idownload hapo chini:
BOFYA HAPA USIKILIZE NA UDOWNLOAD KIBA SQUARE - PITA MBELE
No comments:
Post a Comment