E FM

E FM
SIKILIZA 93.7 E FM KILA SIKU

Saturday, May 31, 2014

KAMA ULIKUWA HUJAZIONA...HIZI NDIO PICHA ZA MWANAFUNZI UDSM ALIYEFARIKI GHAFLA ZA ENZI ZA UHAI WAKE

Sekabenga enzi za uhai wake
 JANA kupitia blog hii nilikujulisha kuhusiana na kifo cha mwanafunzi wa Chuo kikuu Cha Dar es Salaam kutoka Shule ya Biashara (UDBS) anayejulikana kwa jina la Mwakimenya Sakabenga lakini
leo nimekuwekea picha za marehemu enzi za uhai wake.

 Mwanafunzi huyo alifariki jana mchana ghafla alipokuwa amejipumzisha chumbani kwake maeneo ya Hall 1 Block E.

Mpaka sasa taratibu maalum za kusafirisha mwili wa marehemu kupelekwa Morogoro kwa maziko zinaendelea na nitakujuza kila kinachoendelea.

Mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi AAMIN...
Kaa nami kwa stori kama hizi na pia unaweza kushare na wenzako waweze kufahamu...

No comments:

Post a Comment