HIT MAKER wa wimbo 'WALEWALE' KALA JEREMIAH ameachia truck yake mpya aliyoshirikiana na NAY WA MITEGO pamoja na MO MUSIC inayokwenda kwa jina la SIMU YA MWISHO.
Tayari video ya wimbo huo ishafanywa na inatoka leo jioni pamoja na video ya BEN POL FT JOH MAKINI - UNANICHORA..
ISIKILIZE NA UDOWNLOAD HAPO CHINI..
KALA JEREMIAH FT NAY WA MITEGO & MO MUSIC - SIMU YA MWISHO
No comments:
Post a Comment