E FM

E FM
SIKILIZA 93.7 E FM KILA SIKU

Tuesday, July 30, 2013

"NI CARNIVORE PUB IDD HII"................DJ BLACK

 

    DJ anayekimbiza kunako gemu, Steve maarufu kama DJ BLACK amefunguka kuwa amejipanga kutoa burudani ya nguvu katika sikukuu ya IDD EL FITR inayotarajiwa kuwa mwishoni mwa wiki ijayo. 

      DJ BLACK amesema hayo alipokuwa akiongea na mtandao huu na kusema kuwa watu wakae tayari kupata zile ngoma kali mpya zote 'latest' pamoja na zile za zamani zilizowahi kutamba.

"nitakua na ishu moja Carnivore disko la maana kwenye hii pub hapa Karatu nitafanya yangu" Alisema
 DJ BLACK 
Amesema kuwa watu wote wanakaribishwa pale CARNIVORE PUB ambapo atakuwa anayafanya yake. 

DJ BLACK amekua ni mmoja kati ya maDJ wanaofanya vizuri na pia alishawahi kuandaa show kadhaa kama hizo zilizofanikiwa vizuri sana.

No comments:

Post a Comment