HIZI NI BAADHI YA POSTS ZA MASTAA HAPA NCHINI KUHUSIANA NA SIKUKUU YA EID
Kutoka katika mtandao wa facebook, wasanii Diamond, Kala Jeremiah pamoja na Radio presenter wa Clouds Fm Radio B12 wameandika hivi...........
nAWATAKIA SIKUKUU NJEMA NDUGU ZANGU WA ISLAM
EID
MUBARAAQ KWA WAISLAMU WOTE,TUMSHUKURU MUNGU KWA PAMOJA KWA KUTUWEZESHA
KUWEZA KUMALIZA MFUNGO WA RAMADHANI SALAMA....BILA KUSAHAU KIDOGO
TULIVYONAVYO BASI TUGAWANE NA WAJANE,YATIMA NA WASIOJIWEZA.WAGONJWA
TUSIWASAHAU KWENYE SIKU HII MUHIMU KWETU NAPENDA KUWASIHI AMANI ITAWALE
KATI YETU NA UPENDO ULIOSHAMIRI UZIDI KUSHAMIRI ZAIDI....NAWAPENDA
SANA..
No comments:
Post a Comment