E FM

E FM
SIKILIZA 93.7 E FM KILA SIKU

Sunday, August 4, 2013

SIKILIZA NA UIDOWNLOAD NGOMA MPYA 'KIPENDACHO ROHO' YA FLAC SKILLS HAPA

        HII NDIO NGOMA MPYA YA FLAC SKILLS

Msanii anayekimbiza katika gemu ya Bongo fleva hivi sasa, FLAC SKILLS, ameachia ngoma mpya inayokwenda kwa jina la 'kipendacho roho'

FLAC amewaomba mashabaiki wake pamoja na wanaopenda muziki wa bongo fleva kumsupport katika kazi zake na kumpokea kwa mikono miwili...

"of course nilikaa chini nikasema nifanye kitu kwa ajili ya watu wangu na wanaopenda muziki wa Bongo fleva so nikaamua niachie hii ngoma kwa ajili yao...so nachoomba wapiokee na waisupport kazi yangu'

Naye DJ BLACK amefunguka kuhusiana na ujio mpya wa FLAC SKILLS na kusema kuwa jamaa amepiga hatua nzuri sana kwenye gemu na anatarajia mazuri zaidi kutoka kwake.

Ngoma hii imetengenezwa kutoka Shine records..unaweza kushare na wenzako pia post hii...


No comments:

Post a Comment