E FM

E FM
SIKILIZA 93.7 E FM KILA SIKU

Tuesday, April 29, 2014

'BREAKING NEWS' WATU 14 AKIWEMO ASKARI USALAMA BARABARANI WAFARIKI KWA AJALI YA BASI LA SUMRY


Basi la Sumry linalofanya safari zake kati ya Kigoma na Dar limeua watu 14 papo hapo usiku huu maeneo ya Ikungi, mkoani Singida.


Inadaiwa  kuwa mwendesha baiskeli alikuwa akivuka barabara, lori likamgonga ghafla  na wanakijiji wakajaa kushangaa tukio hilo na wakati huo huo askari wa usalama barabarani akipima ajali ndipo likatokea basi la Sumry na kugonga watu 13 pamoja na askari na kufikia 14 na kufariki.

Taarifa rasmi zitakujia. Endelea kuwa nami.

No comments:

Post a Comment