KATIKA kufanikisha burudani leo usiku katika mji wa Karatu, Redd's Miss Karatu imemleta SNURA kwa ajili ya kutoa burudani.
Tayari Snura yuko ndani ya Karatu na amejipanga rasmi kutoa burudani kali usiku huu.
![]() | ||
SNURA akiwa na baadhi ya washiriki |
Usiku wa leo katika ukumbi wa Ngorongoro Camp, anatarajiwa kupatikana Redd's Miss Karatu atakayewakilisha wilaya katika ngazi ya mkoa, kanda na baadae taifa.
No comments:
Post a Comment