ULE utaratibu wa prodyuza kutoka Tanzania, Lamar, wa kuzirudia ngoma za wasanii zilizotoka na kuhit kwa ajili ya Club Bangers umeendelea tena wiki hii.
Kupitia kipindi cha XXL cha Clouds Fm, Lamar leo ameachia refix ya wimbo wa Ommy Dimpoz ft Vanessa Mdee - Me and You.
Tayari alishatoa nyimbo za Diamond ft Davido - Number One rmx na wa AY ft Dela - Asante na amesema utaratibu huo utaendelea kila wiki.
Kaa nami kila siku kwa taarifa hizi na nyingine nyingi.
BOFYA HAPA KUSIKILIZA ME AND YOU REFIX YA OMMY DIMPOZ FT VANESSA MDEE
No comments:
Post a Comment