E FM

E FM
SIKILIZA 93.7 E FM KILA SIKU

Saturday, May 31, 2014

CHEKI HAPA ALICHOSEMA MASANJA MKANDAMIZAJI KUHUSIANA NA KUTOWEKA PICHA ZA MISIBA YA WASANII BONGO

LEO jioni mchekeshaji maarufu kutoka kundi la Orijino Komedi, Masanja Mkandamizaji, akiwa safarini kurejea Tanzania kutokea Marekani amefunguka ya moyoni
kuhusiana na kutoweka picha yeyote ya misiba iliyotokea hivi karibuni katika akaunti yake ya Instagram.

Hayo yamekuja mara baada ya kuulizwa na wafuatiliaji wa akautni yake kuhusu kwanini amekuwa haweki picha yeyote kuhusiana na misiba kuanzia wa Adam kuambiana, Recho Haule na huu wa sasa wa George Tyson.

Ndipo Masanja alipoamua kuwajibu watu hao kwa maelezo haya hapa chini:

Namba 1

Namba 2

Namba 3
Endelea kukaa nami na share na wenzako kupata taarifa kama hizi

2 comments: