E FM

E FM
SIKILIZA 93.7 E FM KILA SIKU

Friday, May 16, 2014

DIAMOMOND ATUA BONGO KWA AJILI YA SHOW LEO BILCANAS NA KESHO KURUDI UINGEREZA KWA AJILI YA SHOW

TAYARI Nasib Abdul maarufu kama Diamond ameshatua ndani ya jiji la Dar es Salaam kwa ajili ya kuperfom usiku wa leo katika kuelekea katika usiku wa tuzo za MTV MAMA ambazo naye ni mmoja kati ya wanaowania tuzo hzo.


Leo hii Diamond anatarajiwa kupanda satge moja na SAUTI SOL kutoka Kenya na pia kutakuwa na disco kali kutoka kwa Madj kutoka South Africa na pia kutoka hapa hapa nyumbani akiwemo DJ MAFUVU, DJ STEVE B na DJ ZERO.

Diamond kesho anatrajiwa kuondoka mapema mno kwa ajili ya kufanya show yeye na OMMY DIMPOZ ambayo inatarajiwa kufanyika London keshokutwa tarehe 18.

Diamond ametajwa kuwa msanii wa kwanza kushindania moja ya tuzo kubwa duniani B.E.T ambapo anashindanishwa na wasanii kutoka Nigeria na Ghana akiwemo Davido.

No comments:

Post a Comment