E FM

E FM
SIKILIZA 93.7 E FM KILA SIKU

Friday, May 16, 2014

IDADI YA WALIOFARIKI KWA MLIPUKO KENYA IMEFIKIA 10 NA ZAIDI YA 70 KUJERUHIWA

IMERIPOTIWA kuwa hadi sasa idadi ya waliofariki katika mlipuko uliotokea katika soko la nguo za mitumba Gikomba imefikia 10 huku wengine 70 wakiwa wamejeruhiwa.


Tayari mtu mmoja anashikiliwa na Polisi nchini Kenya akihusishwa na tukio hilo kwa uchunguzi.
Soko hilo linapakana na mtaa wa Easleigh ambako wasomali wengi wanaishi na kufanya kazi.Mlipuko wa kwanza ulitokeakatika gari la abiria wakati la pili likitokea upande wa pili wa soko.

No comments:

Post a Comment