E FM

E FM
SIKILIZA 93.7 E FM KILA SIKU

Monday, May 12, 2014

SITAKI KAZI KUTOKA KWA NIKKI WA PILI FT BEN POL NA G NAKO KESHO TAREHE 13


KESHO tarehe 13 ndio siku maalum ambayo memba kutoka WEUSI kampuni Nikki wa Pili ataachia truck yake mpya inayokwenda kwa jina la SITAKI KAZI.


Ndani ya ngoma hiyo wameshirikishwa wakali wa chorus Ben Paul na G Nako.
Sikiliza teaser hapo chini


No comments:

Post a Comment