E FM

E FM
SIKILIZA 93.7 E FM KILA SIKU

Thursday, May 29, 2014

PICHA: UWOYA AANGUKA KWENYE MSIBA WA RECHO

MWIGIZAJI Irene Uwoya ameanguka na kupoteza fahamu leo katika msiba wa aliyekuwa mwigizaji wa Bongo Movies, Rachel Haule maarufu kama Recho.


Uwoya alikuwa rafiki wa karibu mno wa marehemu na ndio sababu kubwa inyotajwa ya kuanguka huko.

Hivi sasa katika viwanja vya Leaders Club shughuli ya kumuaga Recho inaendelea na baadae jioni atazikwa katika makaburi ya Kinondoni.

Uwoya alipoanguka Leaders

Mwili wa Recho ukiwa kwenye jeneza nyumbani kwake kabla ya kupelekwa Leaders Club

No comments:

Post a Comment