TAZAMA HAPA JINSI MASHABIKI WALIVYO NA UPENDO KWA MASTAA WAO
LEO asubuhi mwanamuziki wa kimataifa, ALAINE kutoka Jamaica, ameweka picha hiyo hapo juu katika mtandao wa Instagram na kuandika:
"Niliegesha gari langu katika duka kubwa na niliporudi nikakuta hiki kwenye dirisha la mbele la gari yangu"
No comments:
Post a Comment