....A blog that brings you closer to all stories and news around Tanzania, Africa, and whole world at large.
Tuesday, May 13, 2014
UNATAKA KUFAHAMU KUHUSU DENGUE? TAZAMA VIDEO HII YA DAKIKA MBILI (2)
DENGUE (inatamkwa DENGI) ni homa ambayo inayosambazwa na mbu aina ya AEDES ambayo inatikisa jiji la Dar es Salaam na baadhi ya maeneo nchini.
Mpaka sasa imeripotiwa zaidi ya watu 60 wameugua ugonjwa huu huku watu kadhaa wakiripotiwa kufariki dunia.
Dalili kuu za ugonjwa huo ni pamoja na Homa kali, kichwa kuuma hasa kipanda uso, kutokwa damu sehemu zilizo wazi, mwili kuuma pamoja na ngozi kubabuka.
Utakapoona dalili hizo unashauriwa usinywe Diclofenac, Asprin na Dicloper. Unashauriwa kunywa Panadol na kisha unywe maji mengi na uwahi hospitali.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment