MWANAMITINDO maarufu zaidi duniani ambaye haishiwi na skendo kila kukicha, KIM KARDASHIAN au MRS KANYE WEST, ameendelea ku-make headlines mitandaoni
mara baada ya kupost picha zikionesha mapaja yake wazi wazi.
Mwanamitindo huyo aliyefunga ndoa wiki kadhaa zilizopita, inasemekana yuko mapumzikoni katika visiwa na kuweka picha inayoonesha glass mbili za vinywaji ikiashiria uwepo wa mumewe Kanye West.
No comments:
Post a Comment