
anayeandamwa na mikosi Justine Bieber ametangaza kuachia ngoma aliyoshirikiana na Chris Brown muda mfupi ujao.
Staa huyo ametupia picha katika mtandao wa Instagram akiwa na CB huku akiandika:
"Studio, me and CB did 1 for the fans"
Hii inakuja muda mfupi tu tangu Chris Brown atoke jela ambapo imeripotiwa pia Chris Brown kufanya kolabo na msanii kutoka Nigeria, WIZKID.
No comments:
Post a Comment