....A blog that brings you closer to all stories and news around Tanzania, Africa, and whole world at large.
Friday, August 15, 2014
VIDEO NA AUDIO: INTERVIEW PAMOJA NA TRUCK MPYA KUTOKA KWA BEN CRIS- USINIACHE
Moja ya aina ya muziki ambayoTanzania hufanyika ni pamoja na Zouk. Lakini ni wasanii wachache ambao hufanya mziki huo. Japokuwa ni msanii chipukizi, lakini Ben Cris ameautendea haki aina ya muziki huo mara baada ya kuachia ramsi wimbo wake unaoitwa USINIACHE.
Ngoma imefanyika studio za BACKYARD RECORDS iliyoko maeneo ya Kinondoni Morocco Jijini Dar es Salaam chini ya producer mkongwe kwenye game BRATON.
Bofya hapo chini kuusikiliza na kudownload wimbo wenyewe kisha msikilize Ben Cris akizungumzia ujio wake huo hapo chini.
Bofya hapa kusikiliza na kudownload Usiniache- Ben Cris
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment