E FM

E FM
SIKILIZA 93.7 E FM KILA SIKU

Friday, March 6, 2015

ULIWAMISS WEMA NA AUNT EZEKIEL KWENYE MOVIE? CHEKI HII TRAILER..



Ni muda mrefu walipotea katika TV yako katika upande wa filamu na kubaki kushine kupitia story wanazoandikwa kwenye magazeti, websites, mitandao ya kijamii na kuwafanya kuendelea kuwa on top.. 

Watu wakajiuliza, hivi hawa warembo ushoga wao unaishia kula bata tu na vitu vingine lakini sio kupiga kazi? Sasa wameona sio kesi sio deni.. watoto wa town siku hizi wanasema 'kwani shilingi ngapi?' Watu wameingia mzigoni, wamepiga kazi and finaly the movie is here! Yes, nadhani sasa ile kiu ya kusubiri kuona kama Wema Sepetu atasimama tena mara baada ya kumwagana na aliyekuwa mpenzi wake, Diamond Platnmuz, hatimaye ikatakatwa pale ambapo movie hii itaingia sokoni..

Jina la movie bado halijajulikana ila kupitia account yake ya Instagram, Aunty Ezekie a.k.a Mama Kijacho amepost trailer hiyo ambayo ndani yake wameonekana mastaa wengine wa filamu Tanzania akiwemo Hemed Suleiman..


Huu ni mwanzo tu. Mwishoni mwa mwaka jana bi dada Wema Sepetu alizama pande za Ghana na huko alikwenda kutengeneza filamu ambayo amemshirikisha jamaa anayetisha pande hizo na za kimataifa, Van Vicker..

So design kama tusikilizie mengi mazuri kutoka kwa bi dada huyu and may be tuseme THE QUEEN IS BACK...

Follow me on Facebook, Instagram @sumathepresenter and Twitter @sumapresenter

No comments:

Post a Comment