E FM

E FM
SIKILIZA 93.7 E FM KILA SIKU

Sunday, May 10, 2015

WAKATI WENGI WAKIFURAHIA SIKU YA MAMA DUNIANI, OMMY DIMPOZ KWAKE IMEKUWA TOFAUTI.. HIVI NDIVYO ALIVYOFANYA..

LEO tarehe 10 Mei 2015 ni sikuu ambayo huadhimishwa kama siku ya mama duniani (Mothers day) ambapo watanzania wengi wameungana kuadhimisha siku hii kwa kuwa karibu na mama zao na wengine kuwapost katika mitandao mbali mbali ya kijamii. Lakini kwa msanii Omary Nyembo maarufu kama Ommy Dimpoz imekuwa tofauti kwake.
Siku hii anaiadhimisha akiwa mbali na marehemu mama yake. Kupitia mtandao wa Instagram Ommy Dimpoz amepost ujumbe mrefu ambao kiasi fualani unaumiza kwa ajili ya kumkumbuka mama yake. Ujumbe wenyewe huu hao chini:

akamalizia 'Pumzika kwa amani Mwanamke Uliye na Himaya Kubwa Zaidi kwenye Moyo Wangu'
@mubenga @beingaidancharlie

Ujumbe huu pia kausindikiza na maneno ya kipande kifupi cha video wa wimbo wa 'Nani Kama Mama' alioshirikishwa na Christian Bella.



No comments:

Post a Comment