E FM

E FM
SIKILIZA 93.7 E FM KILA SIKU

Friday, December 18, 2015

Exlussive Interview na Kevi, Msanii wa Bongo Fleva kutoka Karatu: Wasanii anaowakubali, Producer mkali kwake ni nani? Majibu yako hapa

UNAPOKUWA msanii unayechipukia inakuwa changamoto kupata airtime kwenye radio na TV stations. Inakuwa ngumu zaidi pale ambapo unakuwa unaishi mbali na miji mikubwa ambapo radio na TV stations zipo mbali. 
Nimetembelea wilaya ya KARATU
iliyoko mkoani ARUSHA na kukuta jitihada zinazofanywa na wasanii wa maeneo haya. Wanafanya kazi zao na kusisambaza. Je, ni changamoto zipi zinawakabili? Wasanii wanaowakubali? Maprodyuza wanaowakubali ?
Nimefanya Exclusive interview na msanii KEVI na anafunguka yote haya hapo chini kwa kubofya 'play'...

No comments:

Post a Comment