E FM

E FM
SIKILIZA 93.7 E FM KILA SIKU

Sunday, August 4, 2013

KWA SHABIKI WA RAMA, DEE HII INAKUHUSU.....

RAMA DEE KUACHIA 'THE BEST OF RAMA DEE' KWENYE I TUNES SOON....

 

Mfalme wa RNB Bongo, Rama Dee ametangaza kupitia akaunti ya facebook kuwa yuko mbioni kuachia 'the best of Rama Dee' kupitia I Tunes.


Hatua hii itasaidia kutimiza maombi mengi ya mashabiki wake waliomtaka kuweka nyimbo zake kwenye I Tunes ili watumiaji waweze kupata kiurahisi.

No comments:

Post a Comment