E FM

E FM
SIKILIZA 93.7 E FM KILA SIKU

Sunday, August 4, 2013

SOMA HAPA ALICHOKIANDIKA KALLA JEREMIAH KATIKA UKURASA WAKE WA FACEBOOK

SOMA HAPA ALICHOKIANDIKA KALLA JEREMIAH KATIKA UKURASA WAKE WA FACEBOOK..










KATIKA PITAPITA ZANGU KATIKA MITANDAO YA KIJAMII, NIKAKUTANA NA POST HII HAPA YA MSANII BORA WA HIPHOP 2013 KALA JEREMIAH...STATUS YENYEWE HII HAPA....icheki









Kala jeremiah
Kala jeremiah
nENO LA LEO

DHAMBI HAISAHAULIKI

HAIJALISHI ULITENDA DHAMBI MWAKA GANI KAMA HUKUITUBU BADO INAHESABIKA KUWA DHAMBI HATA KAMA LEO HII WEWE NI MTENDA MEMA NA MCHA MUNGU. KAMA HUKUZITUBU DHAMBI ZAKO BADO SAFARI YAKO YAKWENDA JEHANAM IKO PALEPALE.

No comments:

Post a Comment