E FM

E FM
SIKILIZA 93.7 E FM KILA SIKU

Monday, December 23, 2013

HIKI NDICHO ALICHOSEMA LUDACRIS


Ludacris
Msanii nguli kutoka Marekani na pia muigizaji wa filamu za 'fast and furious', LUDACRIS, kupitia akaunti yake ya facebook ametangaza siku ya kuzinduliwa rasmi FAST AND FURIOUS 7
huku akihusisha na kifo cha muigizaji mwenzao PAUL WALKER.
Kupitia taarifa hiyo, imeelezwa kuwa FF7 itazinduliwa tarehe 10 April, 2014. Kwa mashabiki na wafuatiliaji wa movie hiyo ni habari njema kwao japokuwa itakuwa ni muda mrefu mno kusubiri..

Taarifa yenyewe hii hapa



No comments:

Post a Comment