HAYAWI HAYAWI SASA YAMEKUWA. Ule mchakato wa uchaguzi ulioanza rasmi jumatano ya tarehe 23/04/2014 umehitimishwa rasmi usiku wa leo kwa Filbert Nickson kutangazwa rasmi kuwa ndio Rais atakayeiongoza serikali ya
wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (DARUSO).

Katika mahojiano niliyofanya na Rais mteule Bw. Nickson
ameshukuru sana wanafunzi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam kwa kumchagua huku
akiwaahidi kutekeleza yale aliyokuwa akiwaahidi katika kampeni zake.

“Mungu awabariki wana UDSM wameelimika” Alisema Bw. Nickson.
Filbert Nickson ameshinda kwa kura 2366 sawa na 45% ya kura
zote 5303 zilizopigwa. Nafasi ya pili imeshikwa na Innocent Mboya aliyepata kura 1516 sawa na 28% na nafasi ya tatu imeshikwa na Gibson George aliyepata kura 1351 sawa na 25%. Kura zilizoharibika ni kura 70 sawa na 02%.
Kwa upande wa Makamu wa Rais, Sekajingo Janeth ameshinda kwa kura 3658 sawa na 69% ya kura zote 5296 zilizopigwa. Henzron Tunsume ameshika nafasi ya pili kwa kupata kura 1553 sawa na 29%. Kura zilizoharibika ni kura 85 sawa na 2% ya kura zote zilizopigwa.

Sumathepresenter.blogspot.com inawapongeza Bw. Filbert
Nickson pamoja na Sekajingo Janeth kwa kuchaguliwa kuwa viongozi wapya wa
DARUSO 2014/2015.

Tazama Mahojiano hapo Chini
No comments:
Post a Comment