KUPITIA akaunti ya Instagram, Maulid Baraka wa Kitenge ambaye ni mtangazaji wa kituo cha ITV/RADIO ONE ameachia picha zingine akiwa sehemu mbalimbali katika jiji la London.
![]() |
Akiwa na Zawadi Machibya |
![]() |
Akielekezawa jambo na Charles Hillary |
Safari hii Kitenge ametupia picha akiwa katika ofisi za BBC, klabu za Chelsie pamoja na Totenham.
![]() | ||
Akikabidhiwa jezi ya Chelsie |
No comments:
Post a Comment