E FM

E FM
SIKILIZA 93.7 E FM KILA SIKU

Thursday, April 24, 2014

HIZI NDIZO PICHA PAMOJA NA VIDEO YA MAHOJIANO NA MGOMBEA URAIS CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM BWANA MBOYA, INNOCENT

Bw. Mboya Innocent


Mara baada ya uzinduzi rasmi wa kampeni za kinyang'anyiro cha Urais katika chuo kikuu cha Dar es Salaam, sumathepresenter.blogspot.com ilifanya mahojiano na mmoja wa wagombea wa nafasi ya Urais katika serikali ya wanafunzi (DARUSO).




 
Mboya Innocent, aliyekuwa waziri wa mikopo katika serikali ya Bw. Kisanko Evance anayemaliza muda wake amesema kuwa ataendeleza yale mazuri aliyokuwa anayafanya kipindi alipokuwa waziri wa mikopo hivyo anahitaji nafasi hii ya Urais.

Bofya hapa kutazama video ya mahojiano na Bw. Mboya sehemu ya kwanza.

Bofya hapa kutazama video ya mahojiano na Bw. Mboya sehemu ya pili.

Unaweza kushare na rafiki zako stori hii

No comments:

Post a Comment