Bw. Filbert Nickson |
sera mbalimbali atakazozitekeleza pindi atakapochaguliwa kuwa Rais wa serikali ya wanafunzi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam (DARUSO).
Awali katika kampeni zake maeneo ya Hostel za Mabibo, Bw. Filbert ameeleza kuwa atahakikisha anashughulikia suala la mapato na matumizi ndani ya DARUSO kwa manufaa ya wanafunzi wote wa Chuo hicho kama atapatiwa nafasi.
![]() | |
Mgombea Bw. Filbert akisiliza maswali ya wanafunzi |
![]() | ||
Wanafunzi wakimuuliza maswali mgombea |
![]() |
Wanafunzi wakifuatilia kampeni kutoka vyumbani mwao |
Mchakato unaondelea sasa katika chuo kikuu cha Dar es Salaam ni uchaguzi wa Rais wa DARUSO pamoja na makamu wake ambapo uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika siku ya Jumatatu tarehe 28/04/2014 kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 10 jioni.
Bofya hapa kutazama video ya mahojiano na Bw. Filbert Nickson
No comments:
Post a Comment