JANA siku ya tarehe 23/04/2014 ndio ilikuwa siku ya kwanza kabisa katika uzinduzi rasmi wa kampeni za urais katika chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) ili kumpata Rais atakayeongoza serikali ya DARUSO kwa mwaka 2014/2015.
Katika ukumbi wa YOMBO 4 uliokuwa umefurika, kulihudhuriwa na viongozi wanaomaliza muda wao akiwemo Rais anayemaliza muda wake Bw, Kisanko, Evance pamoja na mshauri wa wanafunzi.
Bw. KISANKO, Evance, Rais wa DARUSO 2013/14 |
Mgombea Urais kotoka shule ya sheria |
Wagombe Umakamu wa Rais |
Mgombe Urais kutoka COHU, Bw. GIBSON, George |
Kutoka kushoto ni Makamu wa Rais, katikati ni Rais anayemaliza muda wake |
Wanachuo wakifuatilia ufunguzi huo |
Kazi nzuri Suma..... madau Nyella
ReplyDeleteAhsante broh..pamoja sana
Delete