Kitenge yuko nchini Uingereza na jana pia alikuwa miongoni wa wageni waliopokelewa katika ofisi za timu za Manchester City pamoja na Manchester United pamoja na kushuhudia mtanange mkali kati ya Manchester United na Norwich City.
Katika kila klabu aliyotembelea Kitenge, alipatiwa jezi ya timu husika huku MAN U wakimpatia jezi nambari 9 kisha kuandika kuwa yeye havai jezi namba 9 bali huvaa namba 10 hivyo akirudi amletee nani zawadi? Kitenge alimaliza kwa kuuliza.
Pia Kitenge alikutana na mchezaji wa zamani wa Manchester United pamoja na viongozi mbalimbali wa klabu hiyo.
No comments:
Post a Comment