E FM

E FM
SIKILIZA 93.7 E FM KILA SIKU

Wednesday, May 14, 2014

BAADA YA DIAMOND KUWA NOMINATED KWENYE TUZO ZA B.E.T, HIVI NDIVYO MASTAA WA BONGO WALIVYOZIPOKEA TAARIFA HIZO


Leo hii Diamond Platnumz ameingia kwenye stori nyingine kubwa ya dunia baada ya kuchaguliwa kushiriki kwenye tuzo za Television kubwa ya Marekani ya BET ambapo yupo kwenye kipengele cha wanaogombea BEST INTERNATIONAL ACT AFRICA.


Anaigombea hiyo tuzo na Davido wa Nigeria, Mafikizolo wa South Africa, Tiwa Savage wa Nigeria, Toofan na Sarkodie wa Ghana.

BET kupitia page yao ya twitter waliandika kuthibitisha kuchaguliwa kwa Diamond na kumpongeza akiwa pia ni msanii pekee wa Afrika Mashariki kwenye tuzo hizi za mwaka huu.

Kupitia Instagram mastaa mbalimbali wamempongeza Diamond kwa namna tofauti.

Tazama hapa

HII NI YA SHETTA

HII NI YA SALAMA JABIR

HII NI YA B DOZEN

HII NI YA SHEDDY CLEVER

HII NI YA LULU

HII YA WEMA SEPETU

HII YA YOUNG DEE

HII YA VANESA MDEE

HII YA AY

No comments:

Post a Comment