E FM

E FM
SIKILIZA 93.7 E FM KILA SIKU

Monday, May 5, 2014

EXCLUSIVE: LEO SAA TISA (9) NA NUSU ALASIRI FUATILIA VIDEO YA ATAKACHOKISEMA WAZIRI WA MIKOPO UDSM, BW. MBOYA HAPA HAPA

KAMA kichwa cha habari kinavyosema, jioni ya leo nitakuwekea mahijiano maalum (Exclusive Interview) ya video kati yangu na Waziri wa Mikopo anayemaliza muda wake Bw. Mboya Innocent
ili kuzungumzia juu ya mustakabali wa malipo ya wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam. 

Ninachokusihi ni kuwa karibu na kutembelea blog hii kila unapopata wakati.

Ni ruhusa kushare stori hii ili wengine nao wajue.

No comments:

Post a Comment