E FM

E FM
SIKILIZA 93.7 E FM KILA SIKU

Sunday, May 4, 2014

USHAWAHI KUSIKIA BONGE LA HIP HOP TRACK KUTOKA KWA WANAFUNZI WA UDSM? UNAFAHAMU NI WA COLLEGE GANI? BASI INGIA HAPA.

WAKATI mwingine unaweza usiamini lakini ndivyo ilivyo pale ambapo Mwanahistoria akiungana na Mhandisi na kufanya bonge ya kolabo.


Hapa nazungumzia truck mpya kabisa kutoka kwa wanafunzi wa  hapa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, Emanuel Robert A.K.A ZERO pamoja na Peter Clever A.K.A  
P EXPERIENCE inayokwenda kwa jina la AFRIKA.


Picha maalum itakayotumika kwenye Cover ya wimbo

ZERO ni mwanafunzi wa mwaka wa pili B.A. Education na P EXPERIENCE ni mwanafunzi wa mwaka wa nne kutoka katika COLLEGE OF ENGINEERING AND TECHNOLOGY (CoET) na hapa wamefanya kitu kizuri sana na ndani ya hii ngoma utakutana na majina kama Pro.f ISSA SHIVJI, GADDAFI na wengine wengi.

Unaweza kusikiliza special Radio Show kati yangu na hawa wasanii kwa kubonyeza hapo chini na chini kabisa ndio wimbo wenyewe.

Bonyeza Hapa Usikilize Special Radio Show ya Suma na Zero na P Expeience


Bonyeza hapa kusikiliza na kudownload wimbo wenyewe

Unaweza kushare na wenzako pia na kutoa maoni yako hapo chini. Kama wewe ni msanii na unatafuta kutoka pia nichek hapahapa tufanye mabo kama haya.

No comments:

Post a Comment