JANA tarehe 10 ilikuwa ni siku maalum ya wanafunzi wanaosomaChuo Kikuu Cha Dar es Salaam hasahasa wanaosoma masoko kutoka katika shule ya biashara (UDBS).
Sherehe hizo za Marketing Forum ambazo hufanyika kila mwaka, mwaka huu zilifana kwa kudhaminiwa na kampuni mbali mbali ikiwemo Kidoti.
Mbali na hotuba maalum iliyoandaliwa na mgeni rasmi pamoja na Jokate mwenyewe, kulikuwa na mambo mbalimbali kama vile mashindano ya kula Barger na sarakasi.
 |
Washiriki wa shindano la kula Barger |
 |
Washindi wa shindano hilo |
|
|
|
|
|
|
No comments:
Post a Comment