KUPITIA akaunti yake ya INSTAGRAM, mwanamuziki kutoka pande za States anayewakilisha chata ya YMCMB, Nicki Minaj amedondosha picha kadhaa katika utengenezaji wa tangazo la kampuni moja ambayo bado hahaitaja jina.
Matangazo ya biashara ni moja kati ya vyanzo vya mapato kwa mastaa wakubwa duniani.
No comments:
Post a Comment