....A blog that brings you closer to all stories and news around Tanzania, Africa, and whole world at large.
Tuesday, May 6, 2014
EXCLUSIVE: FAHAMU WAZIRI WA MIKOPO UDSM AMEZUNGUMZA NINI KUHUSU MALIPO KWA WANAFUNZI
JAPOKUWA nilikuahidi kuwa wewe mfuatiliaji wa blog hii kuwa jana saa 9 na nusu jioni nitakuwa nimeshaweka taarifa pamoja na mahojiano na waziri wa mikopo anayemaliza muda wake, Bw. Innocent Mboya
na nikachelewa kidogo, lakini taarifa hiyo sasa iko hapa hapa.
Jana waziri Mboya amezungumza na kusema kuwa tayari malipo ya baadhi ya ya 'College' na taasisi za hapa chuo yameshaingia hivyo mpaka kufikia mapema wikli ijayo fedha zitakuwa tayari kwenye akaunti za wanafunzi.
Tazama mahijiano hayo hapo chini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment