E FM

E FM
SIKILIZA 93.7 E FM KILA SIKU

Monday, May 5, 2014

KESI YA PISTORIUS YAENDELEA LEO SOUTH AFRICA

ILE kesi ya mwanariadha maarufu nchini Afrika ya Kusini, Oscar Pistorius inaendelea kunguruma muda huu. Pistorius anatuhumiwa kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp katika siku ya wapendanao mwaka jana.


Mpaka sasa Pistorius anakiri kuua lakini madai yake ni kuwa aliua bila kukusudia (yaani ilikuwa katika ugomvi).
Kwa mara ya kwanza amejitetea mahakamni tangu mauaji yatokee nyumbani kwake Pritoria.

No comments:

Post a Comment