E FM

E FM
SIKILIZA 93.7 E FM KILA SIKU

Friday, May 23, 2014

HII NI AUDIO YA MAJIBU KUHUSU YULE MWANAFUNZI ALIYEJIRRKODI AMECHOKA SHULE ANATAKA KUOLEWA

MARA baada ya kurekodi video akidai kuwa amechoka kusoma anataka kuolewa, mwanadada huyo amejibiwa na mtu
aliyeingiza sauti yake katika sauti ya ile video na kumjibu kila alichokuwa akikisema.

Bofya hapo chini kuisikiliza

BOFYA HAPA KUSIKIA KUHUSU YULE DADA ALIYEJINADI KUOLEWA AKIJIBIWA

No comments:

Post a Comment