E FM

E FM
SIKILIZA 93.7 E FM KILA SIKU

Friday, May 23, 2014

TAARIFA: HII NI KWA WANAFUNZI WOTE MWAKA WA TATU 'COLLEGE OF HUMANITIES' COHU

HII ni kuwataarifu wanafunzi wa mwaka wa tatu Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam wanaosoma 'College of Humanities' (COHU)
kuwa wanatakiwa kwenda kuandikisha majina yao katika chumba namba 36 kuanzia juzi tarehe 21 hadi tarehe 30 mwezi Mei. 

Taarifa hizo zitakuwa muhimu kwa ajili ya mandalizi ya kuhitimu na pia wale wenye majina yenye 'initials' kwa mfano 'JAPHET, John F' unatakiwa kwenda kujaza taarifa ya majina yote.

Taarifa hii ni kwa ajili ya wanafunzi wote wa mwaka wa tatu tu kutoka COHU

No comments:

Post a Comment