KIUNGO wa timu ya Bayern Munich aliyekuwa akiwaniwa kusajiliwa na Manchester United, Arjen Robben, amekataa ofa ya kwenda kuichezea MAN UTD hata kama Bayern Munich watamuuza.
Akizungumza na waandishi wa habari, mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30 amesema kuwa hawezi kurudi kucheza ligi ya Uingereza (EPL) kwa sababu ana furaha kuchezea Bayern Munich.
"Nimesaini mkataba mpya na tmu yangu Bayern Munich na nina furaha"
Mchezaji huyu ndiye aliyechangia Bayern Munich kuchukua ubingwa wa Ulaya msimu ulipita.
No comments:
Post a Comment