
TAARIFA zilizothibitishwa zinasema kuwa aliyekuwa muandaaji wa kipindi cha THE MBONI SHOW
na muongozaji wa zamani wa Bongo Movies, George Tyson amefariki dunia baada ya kupata ajali mbaya ya gari katika eneo la Gairo mkoani Dodoma.
George Tyson alikuwa mume wa mwigizaji 'Monalisa' na walibahatika kupata mtoto mmoja katika ndoa yao kabla ya ndoa yao kuvunjika.
Tazama hapa chini jinsi masataa mbalimbali walivyopokea msiba huo.
No comments:
Post a Comment