E FM

E FM
SIKILIZA 93.7 E FM KILA SIKU

Wednesday, May 28, 2014

VIDEO: MCHEKI MASANJA MKANDAMIZAJI AKILALAMIKIA KUKOSEKANA KWA BENDERA YA TANZANIA NCHINI MAREKANI

KUPITIA mtandao wa kijamii wa Instagram, mchekeshaji maarufu kutoka kundi la Orijino Komedi, Masanja Mkandamizaji A. K. A Mchungaji mtarajiwa, ameweka video
kwenye akaunti yake ikimwonesha akilalamikia serikali ya Marekani kutoweka bendera ya Taifa la Tanzania katika nchi yao.

Video hiyo  ya sekunde 15 inamwonesha Masanja akiwa mbele ya ofisi  moja huku ofisi hiyo ikiwa na bendera za nchi nyingi isipokuwa ya nchi yake ya Tanzania.

Itazame hapo chini


No comments:

Post a Comment