E FM

E FM
SIKILIZA 93.7 E FM KILA SIKU

Wednesday, May 28, 2014

PICHA 16 ZA UTENGENEZWAJI WA VIDEO YA MAJAMAA KUTOKA UDSM, ZERO FT P EXPERIENCE - AFRICA PAMOJA NA VIDEO TEASER

UNAKUMBUKA ile HIP HOP truck ya wanafunzi kutoka Chuo Kikuu Cha Dar es  Salaam (UDSM) ya Zero ft P Experience inayoitwa 'Afrika' niliyowahi kuintroduce hapa kwenye blog? 



Basi hawa majamaa wameshafanya video ya hiyo ngoma na tayari wameachia 'teaser' pamoja na picha za utengenezwaji wa video hiyo.

Sehemu kubwa ya location  video hiyo imefanyika katika mazingira ya UDSM katika maeneo kama vile uwanja wa michezo na Hall 4.

Video hiyo imeandaliwa na Jazzy Weely na kuongozwa na Director Papushka

Angalia picha za utengenezwaji wa video hiyo na kionjo cha Video hiyo kipo chini kabisa.




















2 comments:

  1. dah ebwana it seems ni bonge la video...we cant wait to c it

    ReplyDelete
    Replies
    1. Thanks mtu wangu kwa kuwa karibu na blog hii...trust me hii video ni hatari yan. Nitiweka hapa hapa ikitoka tuu

      Delete