DIAMOND platnumz alikuwa akishindania tuzo katika vipengele viwili katika tuzo za MTV MAMA zilizofanyika jana usiku nchini Afrika ya Kusini.
Mbali na kutokushinda tuzo hizo, Diamond alipata nafasi ya kutumbuiza jukwaani huku akishirikiana na DAVIDO..
Video hiyo hapo chini
No comments:
Post a Comment