JIONI ya saa moja na nusu leo itakuwa ni wasaa maalum wa kutambulisha video song kutoka kwa wanafunzi wa UDSM inayokwenda kwa jina la Africa.
Video hiyo itazinduliwa COMMON ROOM Block C MABIBO HOSTEL.
Wasanii hao, Zero kutoka COHU na P Experience kutoka COET watafanya show itakayotanguliwa na Exlusive Video Interview kati ya wasanii hao, Suma The Presenter na Director wa video hiyo Papushka ambaye ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza Law Enforcement UDSM.
Video hiyo itazinduliwa kupitia Projector kwa hiyo fanya kama unampa taarifa mwenzako aliyeko karibu muweze kuhudhuria kwani ni bure kabisa yaani HAKUNA KIINGILIO...
No comments:
Post a Comment