....A blog that brings you closer to all stories and news around Tanzania, Africa, and whole world at large.
Monday, June 2, 2014
NI LADY JAY DEE SAFARI HII KWENYE JARIDA LA VIBE....ICHEKI PICHA YENYEWE HAPA...
KWA muda sasa msanii wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo 'Lady Jay Dee' amekuwa akipost picha katika mitandao ya kijamii ambazo zimekuwa zikizua maswali mbalimbali kwa mashabiki wake.
Lakini leo msanii huyo kategua kitendawili hicho mara baada ya kuweka picha inayomuonesha akiwa katika 'cover' la mbele la jarida maarufu hapa Bongo la 'Vibe'
Mara nyingi watu wanaotokea katika jarida hili la Vibes huruka na kiasi kadhaa cha mkwanja.
Icheki picha yenyewe hapo chini:
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment