REHEMA CHALAMILA maarufu kama RAY C amefunguka ya moyoni mara baada ya kupost kupitia mtandao wa kijamii wa istagram kuwa anatamani kuwa na mtoto.
Mwanadada huyo ambaye aliwahi kuathirika na utumiaji wa dawa za kulevya kwa sasa yuko vizuri na anaendelea na kampeni yake ya kuelimisha kuhusiana na madawa ya kulevya kupitia kampuni yake ya RAY C FOUNDATION.
Angalia hapo chini:
Kila la kheri RAY C Mwenyezi Mungu akutangulie.
No comments:
Post a Comment